Akiwa na umri wa miaka 76, 'Super Granny' wa India Kukimbia Marathon katika Tukio la Mastaa wa Australia – Masuala ya Ulimwenguni

Kmoin Walhang ameketi kwa fahari karibu na mkusanyo wake wa vyeti na nukuu ambazo amepokea baada ya kushiriki katika marathoni kadhaa. Credit: Kwa hisani ya Kmoin Walhang na Diwash Gahatraj (shngimalwlein, india) Ijumaa, Septemba 06, 2024 Inter Press Service SHNGIMALWLEIN, India, Sep 06 (IPS) – Kmoin Wahlang, mwanamke mwenye umri wa miaka 76, anaanza mafunzo…

Read More

MKURUGENZI AKANA MADAI YA KUTODHIBITI TELEGRAM BAADA YA KUKAMATWA UFARANSA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa Telegram, Pavel Durov, amekana vikali madai ya kutokudhibiti matumizi mabaya ya programu yake, baada ya kukamatwa mnamo Agosti 25, 2024. Durov alikamatwa kwenye uwanja wa ndege kaskazini mwa Paris na baadaye kushtakiwa kwa madai ya kushiriki kuruhusu miamala haramu, ulanguzi wa dawa za kulevya, ulaghai, na kusambaza picha za unyanyasaji…

Read More

SULUHU YA KISIASA INAHITAJIKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, amejibu hadharani madai ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, kuhusu kashfa dhidi yake. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Msigwa ameonekana kushikilia msimamo wake huku akisisitiza kuwa mgogoro huu unahitaji kutatuliwa kisiasa. Msigwa ameandika, “Kumbe mwamba huwa…

Read More

AFISA WA POLISI AFIKISHWA MAHAKAMANI KUHUSISHWA NA UBAKAJI WA MSICHANA WA MIAKA 17 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Afisa wa polisi, Fatma Kigondo, amefikishwa mahakamani kutokana na tuhuma zinazomhusisha na tukio la ubakaji na kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 17. Fatma, ambaye alifika mahakamani akiwa amejifunika kwa nikabu na kuvaa miwani, alishtakiwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Tukio hili limevuta hisia kali za umma kutokana na uhusika wa mtuhumiwa katika…

Read More

Yanayoathiri maumbile ya siri ya mwanamke

Mbeya. Baadhi ya wanawake wenye umri kati ya miaka 18 mpaka 35 wako hatarini kiafya kutokana na matumizi ya kemikali, vidonge na vitu vinavyotengenezwa kwa njia asili sehemu zao za siri. Vitu hivyo ni pamoja na vidonge mbalimbali vinavyochakatwa viwandani kwa bidhaa asili maarufu ‘yoni’, ugoro, shabu na hata wengine kuweka limao wakiwa na malengo…

Read More

Manufaa ya mafuta ya ubuyu kwa wenye kisukari

Mafuta ya ubuyu yanatokana na mbegu za matunda ya mti wa ubuyu. Mafuta haya yana thamani kubwa kiafya, hasa kwa wagonjwa wa kisukari. Mafuta ya ubuyu yanaweza kutumika kama sehemu ya lishe ya kila siku kwa kuchanganywa kwenye vyakula kama vile saladi, supu au mboga ili kuongeza virutubisho na ladha. Wagonjwa wa kisukari wanaweza kufaidika…

Read More