Timu ya netiboli ya Maliasili yafuzu robo fainali Shimiwi

  TIMU ya netiboli ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Idara na Wizara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea kufanyika Mkoani Morogoro. Anaripoti Yusuph Kayanda, Morogoro … (endelea). Ushindi huo umepatikana baada ya timu hiyo kuibamiza timu ya…

Read More

MAONYESHO YA KUKU KUFANYIKA OKTOBA.

            Katibu wa Chama za wadau wa uzalishaji wa vifaranga Tanzania (TCPA), Alpha Ibrahimu akielezea namna  maonyesho hayo yatakavyotoa  fursa kwa wafugaji wote Tanzania akiwa na  Sufia Zuberi Katibu wa TAFM pamoja na Grace Urassa, Mkurugenzi aa Audken Farm.  ….Na mwandishi wetu………….. Wadau wa Tansia  ya ndege wafugwao waliopo chinu…

Read More

MCT yapata rais mpya | Mwananchi

Dar es Salaam. Jaji Mstaafu Bernad Luanda amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), kwa kura 27 kati ya 29 zilizopigwa katika mkutano mkuu wa 26 wa wanachama wa taasisi hiyo. Jaji Luanda atatumikia majukumu hayo katika nafasi hiyo akirithi mikoba ya Jaji Juxon Mlay aliyefariki dunia mwaka huu akiwa nchini India…

Read More

Masharti watumishi wanandoa kuungana | Mwananchi

Dodoma. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewataka watumishi wa umma wanaotaka kuhama kwa lengo la kuwafuata wenza wao wa ndoa kuwasilisha taarifa kwa waajiri wao kabla au ifikapo Oktoba 5, 2024. Hata hivyo, waziri mwenye dhamana na wizara hiyo, George Simbachawene amesema kuna utaratibu utafuatwa, akionya wale watakaobainika kudanganya…

Read More

Hekaya za mlevi: Kijana elimu haijakufunza kuajiriwa

Dar es Salaam, Kuna wakati kila kijana alitamani kuwa msanii. Hii inatokea baada ya akili ya kijana kumwonesha mjomba wake akisota na shahada zake bila kupata kazi. Lakini pia masikio ya kijana yaliwanasa wale waliopata kazi wakalalamikia hali ngumu ya maisha.  Kwa upande wa pili kijana aliwaona na kuwasikia vijana wasanii wakijigamba na majumba na…

Read More