
Polisi wamuua mshukiwa wa “ugaidi” mjini Munich – DW – 06.09.2024
Polisi wa Ujerumani hapo jana walimpiga risasi na kumuua mwanaume mmoja ambaye aliwafyatulia risasi katika kile walichokitaja kama “shambulio la kigaidi” lililozuiliwa katika ubalozi mdogo wa Israel wa mjini Munich. Tukio hilo limetokea wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1972. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alisema kupitia mtandao wa X…