
TADB yakopesha vikundi ng’ombe 153 wa maziwa
Pemba. Ili kukabiliana na changamoto ya kukosa maziwa na kuimarisha lishe, vikundi saba vya vya ufugaji vimepewa ng’ombe 153 kuwezesha sekta ya maziwa kukua. Ng’ombe hao wenye thamani ya Sh800 milioni wamenunuliwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutoka Afrika Kusini. Wakizungumza baada ya kukabidhiwa ng’ombe hao leo Septemba 5, 2024 baadhi ya wafugaji…