
Mdamu aanza kupata msaada “angalau nitapata chakula”
BAADA ya Mwanaspoti kufichua hali ya maendeleo ya aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu kuhitaji msaada wa matibabu na mahitaji binafsi, wadau kadhaa wameanza kujitolea kumtatulia baadhi ya changamoto na ameshukuru kwamba ; “angalau sasa nitapata chakula” Julai 9, mwaka 2021 basi la timu ya Polisi Tanzania, lilipata ajali likitoka katika mazoezi Uwanja…