
Mbunge ‘alilia’ maji jimboni mbele ya Makalla, Aweso apigiwa simu
Longido. Waziri wa Maji wa Tanzania, Jumaa Aweso amewaambia Longido, Serikali ipo mbioni kutangaza zabuni ya kumpata mkandarasi atakayetekeleza mradi wa kupeleka maji ya uhakika eneo la Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya. Aweso ameeleza hayo baada ya kupigiwa simu na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla aliyempigia…