
Mpole, Okutu wapewa akili mpya Pamba Jiji
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Pamba, Stand United na Mbeya City, Abasirim Chidiebere raia wa Nigeria amesema mwanzo mgumu iliyoanza nao Pamba Jiji katika Ligi Kuu Bara ni kutokana na udhaifu wa eneo la ushambuliaji na kiungo, huku akiwataka mashabiki kutuliza presha. Chidiebere aliyestaafu soka na ameweka makazi jijini Mwanza, aliliambia Mwanaspoti Pamba Jiji imefanya usajili…