HOSPITAL SINZA WAIPONGEZA MERIDIANBET!! – MICHUZI BLOG

USALAMA na Afya ni jambo la msingi sana, na kila mtu anapambana kwa gharama kubwa kuhakikisha afya yake inakuwa imara, juhudi hizo pekee hazitoshi kwa serikali peke yake kuhakikisha suala la afya kwa nchi nzima linakuwa imara, bali linategemea wadau kama Meridianbet na wengine kuongeza nguvu kwenye masuala ya Afya. Kampuni namba moja ya michezo…

Read More

Geita Gold yaanza kujitafuta mapema

KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Amani Josiah amesema anatambua baada ya usajili uliofanyika mashabiki wengi wamewawekea malengo makubwa, hivyo hataki kuwaangusha huku akiwaahidi watarajie ushindani mkubwa wa timu hiyo kwenye Ligi ya Championship na kurudi Ligi Kuu. Klabu hiyo iliyoshuka daraja kutoka Ligi Kuu bara msimu uliopita sambamba na Mtibwa Sugar, leo Ijumaa itakuwa na…

Read More

Dc Moshi aagiza kukamatwa walioharibu miundombinu ya maji

Moshi. Mkuu wa Wilaya ya Moshi, James Kaji ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa watu  waliohusika na uharibifu wa miundombinu ya maji yenye thamani ya Sh14 milioni katika Kijiji cha Sango kilichopo wilayani humo. Uharibifu wa miundombinu hiyo ya maji unadaiwa kufanywa usiku wa kuamkia Septemba 4, 2024 na baadhi ya watu katika kijiji hicho…

Read More

MCC yaanza kibabe kriketi TCA

SEPTEMBA imeanza vyema kwa timu ya MCC ya kriketi iliyoshinda kwa mikimbio 83 dhidi ya Caravans D katika mchezo wa Ligi ya TCA ya mizunguko 20 iliyopigwa jijini Dar es Salaam. Kumzidi mpinzani kwa mikimbio 83 ni ushindi mkubwa na mashujaa walikuwa Gokul Nair aliyekuwa na mikimbio 64 na Roshan Gaussian 59 kwa washindi. “Ni…

Read More

Falsafa ya 4R kuubeba uchaguzi wa Mbeya

Mbeya. Mbeya ni miongoni mwa mikoa 26, inayotarajiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuwapata wawakilishi wa wananchi ngazi ya vijiji, mitaa na vitongoji. Haki, usawa na amani ndiyo misingi inayotazamwa kufanikisha uchaguzi huo kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa huo, Juma Homera. Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Novemba 27, 2024, ikiwa ni…

Read More

CHALINZE YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha Bw. Stanley Kibakaya, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutumia taasisi za fedha zilizosajiliwa wanapochukua mikopo ili kuwawezesha kuondokana na mikopo umiza pamoja na umuhimu wa kuzingatia mapato na matumizi ili wajiwekee akiba, wakati Maafisa wa Wizara ya Fedha walipokuwa wakitoa elimu ya fedha…

Read More

Maulid ya kitaifa kufanyika mkoani Geita.

MKOA wa Geita unatarajiwa kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya kitaifa ya Maulid ya kuzaliwa mtume Muhammad usiku wa Septemba 15 kuamukia Septemba 16, viwanja vya CCM kalangalala mjini Geita. Hayo yameelezwa na Shehe wa Mkoa wa Geita, Alhaji Yusuph Kabadi mbele ya waandishi wa habari na kueleza Maulid hayo yatatanguliwa na wiki ya Maulid ambayo…

Read More

Mhadhiri UDSM ashinda ubunge EALA, awashukuru upinzani

Dodoma. Wabunge wa Tanzania wamemchagua Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Gladnes Salema kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) baada ya kupata kura 254 kati ya kura 272 zilizopigwa katika uchaguzi huo. Uchaguzi huo umefanyika leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 bugeni jijini Dodoma ili kujaza nafasi hiyo iliyoaachwa wazi…

Read More