Rais ahutubia mkutano wa FOCAS China, waahidi kufufua Tazara

Leo Tarehe 5 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing. Katika hotuba yake, alisisitiza kujitolea kwa Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na China, hasa katika miundombinu na maendeleo ya kiuchumi. Jambo kuu lililozungumziwa ni kufufua mradi wa reli ya Tanzania na…

Read More

Mwenezi Makalla atembelea mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga one stop’ aridhishwa kwa kazi

“Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la foleni linaisha kabisa huku mkiondoa urasimu pamoja na yote muongeze Ushirikiano kwani kwa sasa tupo Vizuri Sisi na majirani zetu wa Afrika Mashariki”. “Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara…

Read More

Taifa Stars ilijikaba yenyewe kwa Wahabeshi

TAIFA Stars imeanza mbio za kusaka tiketi ya kwenda katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika mwakani huko Morocco, kwa kudondosha pointi mbili nyumbani mbele ya timu ya Ethiopia kwa kulazimishwa suluhu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Katika mechi hiyo ya Kundi H iliyopigwa janai usiku, Stars ilishindwa…

Read More

Hisabati kuanza kutumika katika uchumi wa kidigitali

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka Walimu wa Hesabu kuwaandaa wanafunzi na vijana kujikita katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) ili kupata fursa ya kushiriki maendeleo ya Dunia katika zama hizi za kidijiti. Hayo yamebainishwa leo na mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dr Jabir Bakari katika Mafunzo ya Muda…

Read More

Makalla atua mpaka wa Namanga, atoa maelekezo

Longido. Katibu wa Itikadi, Uenezi na  Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mpaka wa Namanga ni eneo muhimu la kukuza biashara na ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya akiwataka watendaji wanaohumudu eneo hilo kutekeleza majukumu yao vyema. Makalla ameeleza hayo leo Alhamisi Agosti 5, 2024 alipofanya ziara ya ghafla katika mpaka huo…

Read More

Binti wa Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati

Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na Mfalme Mswati wa Eswatini wameshiriki sherehe za kitamaduni kuwaozesha watoto wao. Nomcebo Zuma, 21, alikuwa miongoni mwa mamia ya wanawake na wasichana walioshiriki kwenye Umhlanga Reed Dance kwa mfalme siku ya Jumatatu, na atakuwa mke wa Mfalme Mswati, AFP iliripoti. Wakati sherehe hiyo ya siku…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Usia wangu kwa Kocha Liogope

RAFIKI yangu Kassim Liogope amepewa jukumu zito la kukaimu nafasi ya ukocha mkuu wa Azam FC muda mfupi baada ya timu hiyo kumtimua kocha Youssouph Dabo. Kabla ya kubebeshwa mzigo huo, Liogope alikuwa akifundisha kikosi cha vijana cha Azam na alinasa kibarua hicho baada ya Dodoma Jiji aliyoitumikia msimu uliopita akiwa kocha msaidizi kuamua kutompa…

Read More