
Anayetajwa ‘afande’ atinga mahakamani, kesi yaahirishwa
Dodoma. Fatma Kigondo anayelalamikiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024. Mahakama hiyo Agosti 23 ilitoa wito wa kufika mahakamani (samansi) kwa Fatma baada ya ile ya awali iliyomtaka kuhudhuria mahakamani siku hiyo kutotekelezwa. Shauri hilo la malalamiko…