
Serikali kuja ya utaratibu mpya wanaoomba nafasi za kujitolea
Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema mwongozo wa kujitolea katika utumishi utakamilika ndani ya mwaka wa fedha 2024/25. Mbali na hilo, Serikali imesema itaweka utaratibu wa ushindani ili kijana aende kujitolea sehemu kama inavyofanyika kwa nafasi za ajira. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu ameyasema…