
Mama anayedaiwa kuuawa na mwanawe akigombea mali azikwa
Moshi. Wakati mamia ya wananchi wakijitokeza kumzika Adela Mushi (74), mkazi wa Kijiji cha Okaseni, wilayani Moshi anayedaiwa kuuawa na mwanawe wakigombea mali, Paroko wa Parokia ya Mawela, Patrick Soka amesema asilimia 60 ya migogoro iliyopo kijiji hapo ni ya ardhi na urithi. Amesema migogoro hiyo imekuwa ikichochea ukatili yakiwemo mauaji kwenye familia. Padri Soka…