
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA SHERIA YA PPP
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na Matumizi sahihi ya Takwimu iliyohusisha…