MUONEKANO MPYA SERENGETI BEER – MWANAHARAKATI MZALENDO

Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium Lite, na Serengeti Premium Lemon.  Mabadiliko haya yanalenga kusherehekea urithi wa kitanzania na ubora ambao Watanzania wameuzoea, huku ikiwavutia kizazi kipya cha wapenzi wa bia.   Serengeti Premium Lager  Serengeti Premium Lemon Serengeti Premium Lite

Read More

WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WAWASILI DODOMA KWA MWALIKO WA MBUNGE

NA WILLIUM PAUL, DODOMA. WALIMU Wakuu wa shule za sekondari na Wasaidizi wao(Makamu) kutoka katika jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamewasili jijini Dodoma kwa mwaliko kutoka kwa Mbunge wa Jimbo hilo, Anne Kilango Malecela wa kuhudhuria kikao cha Bunge hapo kesho kujifunza jinsi shughuli zake zinavyoendeshwa. Walimu hao ambao walipokelewa na mwenyeji…

Read More

Bibi asimulia mjukuu alivyokosa matibabu kisa Sh20,000

Mwanza. Mwamvua Said (75), mkazi wa Kayenze Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amewezeshwa bure kadi ya bima ya afya kwa ajili yake na wajukuu zake watano. Amesema alishawahi kurudishwa nyumbani na mjukuu wake aliyekuwa anaumwa kwa kukosa Sh20,000 ya matibabu. Furaha ya bibi huyo ilianza kuonekana alipoitwa  jina lake kwa ajili ya kukabidhiwa kadi ya…

Read More

TANAPA yaanza na mkakati wa kuboresha barabara zilizopo Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti

Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha alipongeza hatua zinazochukuliwa na…

Read More

Teknolojia kunogesha maonyesho ya wafanyabiashara Afrika Mashariki

Mwanza. Teknolojia ya kisasa ya utengenezaji wa bidhaa inatajwa kunogesha Maonyesho ya Wafanyabiashara Afrika Mashariki (MEATF) mwaka 2024 yatakayohusisha kampuni zaidi ya 200 kutoka Tanzania na 35 kutoka nje ya nchi. Kampuni 35 zilizothibitisha kushiriki maonyesho hayo ya 19 ya MEATF zinatokea nchini Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kenya, Uganda, India na…

Read More

Umakini mdogo waikosesha Stars Kwa Mkapa

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imebanwa nyumbani kwa kutoka suluhu kwenye uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Kundi H wa kuwania Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 za  Morocco. Stars iliyopo kundi moja na timu za DR Congo na Guinea,…

Read More