Wakulima wa parachichi wafunguliwa soko China

Dar es Salaam. Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (Fao), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), limesaidia kampuni tatu za Tanzania kupata soko la parachichi nchini China. Mafanikio hayo yanatokana na ushirikiano kati ya Serikali na wadau katika sekta ya kilimo na biashara. Soko hilo limepatikana…

Read More

Kamera,ubao zabeba makipa Simba | Mwanaspoti

MASHABIKI wa Simba ghafla wamejikuta wakichanganyikiwa kwa mzuka wa furaha baada ya kuona kiwango cha timu hiyo katika mechi kadhaa iliizocheza hadi sasa zikiwamo mbili za Ligi Kuu Bara. Kushinda mechi hizo mbili mfululizo za ligi na kukaa kileleni, huku ikiwa imefunga mabao saba na kutoruhusu bao lolote, kumewapa mzuka zaidi mashabiki na hasa ubora…

Read More

Ripoti wafanyabiashara soko la Kariakoo yatua kwa RC Chalamila

Dar es Salaam. Baada ya kazi ya takriban miezi miwili, hatimaye kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila kupitia orodha ya wafanyabiashara wanaopaswa kurudishwa katika Soko la Kariakoo, imekabidhi ripoti yake. Kamati hiyo iliundwa na Chalamila katikati ya Julai 2024, baada ya malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara waliodai majina…

Read More

AMREF TANZANIA YATOA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIRADI, UFUATILIAJI NA TATHMINI KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI

Mkurugenzi Mkazi wa Amref Tanzania, Dkt. Florence Temu akizungumza kwenye Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali jijini Dodoma, Septemba 4 ,2024. Mkurugenzi Mkazi wa Amref Tanzania, Dkt. Florence Temu akizungumza kwenye Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali jijini Dodoma, Septemba 4, 2024. Shirika la Amref Health Africa Tanzania limeshiriki katika Kongamano…

Read More

Tunduma yatumia Sh1.3 bilioni kupunguza msongamano shuleni

Tunduma. Halmashauri ya Mji wa Tunduma imetumia Sh1.3 bilioni kujenga Shule ya Msingi Kokoto kwa lengo la kupunguza msongamano wa wanafunzi katika shule za Msingi Katete na Kigamboni, zilizopo Kata ya Mpemba zenye jumla ya wanafunzi 3,500. Shule hiyo imezinduliwa leo Jumatano, Septemba 4, 2024, na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey…

Read More