
Serikali kuwashika mkono wahasibu wanawake
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuwa mshirika wa kimkakati kuboresha mazingira ya kazi, fursa sawa za maendeleo kwa wanawake wahasibu ili kuandaa viongozi bora wanaotokana na wanawake. Hayo yamo kwenye hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah katika uzinduzi wa kongamano la saba…