
Wanaoshi na Virusi Vya Ukimwi Waaswa kufuata Maelekezo ya Daktari Kuepukana na Tatizo la Usugu wa Dawa.
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv WATU wanaoishi na Virusi vya Ukimwi wametakiwa kufuata maelekezo ya daktari wanapotumia dawa za kufubaza virusi hivyo ili kuepukana na tatizo la usugu wa vimelea kwenye dawa hizo. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) Profesa Said Abood ameyasema hayo leo Septemba, 4, 2024…