
Wanafunzi 115 wenye mahitaji maalumu waacha shule ndani ya miezi minane
Geita. Wanafunzi 162 kati ya 3,255 wenye uhitaji maalumu kutoka shule 15 za msingi katika Halmashauri ya Geita, wameacha shule kwa kipindi cha miaka mitatu. Hata hivyo, imeelezwa kati ya hao 162, wanafunzi 115 wameacha shule mwaka huu pekee. Taarifa ya ufuatiliaji wa elimu jumuishi katika Halmashauri ya Mji wa Geita, iliyofanywa na Shirika lisilo…