
Papa ahimiza kujikinga na misimamo mikali – DW – 04.09.2024
Papa amesema jambo hilo linapotosha imani za kidini za watu kupitia kile alichokitaja kama “udanganyifu na vurugu”. Akizungumza katika hotuba yake mbele ya wanasiasa 300 na viongozi wa kidini katika Ikulu ya Merdeka mjini Jakarta, Papa Francis amesema Kanisa Katoliki litaongeza juhudi katika mazungumzo baina ya dini kwa matumaini ya kusaidia kukomesha itikadi kali. Soma…