
Majaliwa akutana na bosi mteule wa WHO kanda ya Afrika
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuiya za kimataifa. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanikisha kuimarisha ushirikiano baina ya nchi washirika na sasa mafanikio yanaonekana. Majaliwa amesema hayo…