
Mganga anayedaiwa kuwaambia wavuvi wafanye mapenzi majini adakwa
Nyasa. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, wamemkata mganga wa kienyeji maarufu ‘Askofu’ katika Mhalo wa Mbamba Bay, Wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kuwauzia wavuvi wa Ziwa Nyasa dawa za miti shamba akidai zinawaosha nyota na kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) iwapo watashiriki tendo…