Sangu: Wazazi chanzo cha watoto kuacha shule

Dodoma. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema wazazi ni mojawapo ya vyanzo vya watoto kuacha shule, kwani wengi wao huwaachia walimu jukumu la malezi. Amesema katika kipindi hiki chenye wimbi la mmomonyoko wa maadili linaloikumba jamii, malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu. Sangu ameyasema…

Read More

Wanaharakati Watoa Wito kwa Ulimwengu 'Kufikiria' Amani, Kukomesha Silaha za Nyuklia – Masuala ya Ulimwenguni

Jopo la kikao cha “Kukumbuka Hiroshima na Nagasaki: Kuwazia Ulimwengu Usio na Silaha za Nyuklia.” Credit: AD McKenzie/IPS na AD McKenzie (paris) Ijumaa, Septemba 27, 2024 Inter Press Service PARIS, Septemba 27 (IPS) – Katika mjadala wowote wa amani ya dunia na mustakabali wa ubinadamu, suala la silaha za nyuklia lazima lishughulikiwe, na sasa. Huo…

Read More

Kinachokwamisha vijana wabunifu kukosa ufadhili hiki hapa

Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imewataka vijana kuja na bunifu zenye tija kwa jamii, ili hatimaye wapate   wafadhili watakaosaidia kukuza bunifu hizo. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Septemba 27, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dk Amos Nungu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho ya tisa ya…

Read More

Nchi 9 kukutana Tanzania kujadili ubora wa elimu

Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la ubora wa elimu (IQEC), litakalowakutanisha wadau wa elimu zaidi ya 350 kutoka  nchi tisa za bara la Afrika. Kongamano hilo litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 12 hadi 14 litawakutanisha wadau wa elimu kutoka nchi za Zimbabwe, Zambia, Sudani Kusini, Lesotho, Afrika…

Read More

Jela maisha kwa kumbaka binti wa miaka tisa

Iringa. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemhukumu kutumikia kifungo cha maisha jela mkazi wa eneo la Migoli, Fumo Renatus (26) baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka tisa. Katika hukumu hiyo ambayo Mwananchi imeiona nakala yake leo Ijumaa Septemba 27, 2024, Fumo amehukumiwa kutumikia adhabu hiyo na Hakimu Mkazi Mwandamizi…

Read More

Mwijaku awasilisha mapingamizi  kesi ya Kipanya

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam imepanga Oktoba 17, 2024 kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria yaliyowasilishwa na mtangazaji wa Crown Media Ltd, Burton Mwemba Mwijaku, Mwijaku amewasilisha mapingamizi hayo katika kesi ya madai iliyofunguliwa na mchora katuni maarufu, Ally Masoud Nyomwa maarufu kwa jina la Kipanya, akitakiwa kumlipa…

Read More

Mbeya Kwanza hoi, City yaamka upya Championship

Mbeya. Baada ya kuanza na sare katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Championship,  Mbeya City leo Ijumaa imetakata kwa kuinyoosha Mbeya Kwanza kwa bao 1-0. Bao pekee la nyota na nahodha wa zamani wa Mbao FC, David Mwasa ndilo limetosha kuipa pointi tatu timu hiyo inayoshiriki ligi hiyo kwa msimu wa pili mfululizo baada…

Read More