TANZANIA KUJIIMARISHA ZAIDI KIDIPLOMASIA – MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndungulile, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ….. WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata…

Read More

Ushirikiano wa nchi za kiafrika uthibitike kwa vitendo

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko amesema ndoto za Wanajumuiya wa Afrika (Pan Africanism) zimeanza kuthibitishwa kwa Waafrika wenyewe kuwekeza katika mipango ya maendeleo ya muda mrefu ikiwemo ya elimu, afya, kilimo, uvuvi na madini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Windhoek, Namibia … (endelea). Ushirikiano baina ya nchi za kiafrika katika sekta…

Read More

Tanzania kuanzisha madarasa wasiojua kusoma na kuandika

Dodoma. Serikali imesema itaanzisha madarasa ya watu wasiojua kusoma na kuandika ili kuondoa changamoto hiyo. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema hayo leo Jumatano Septemba 4, 2024 wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu, Shally Raymond. Mbunge huyo amesema hadi sasa kuna wanafunzi wanaomaliza darasa la saba lakini…

Read More

Dk. Biteko: Ubelgiji yaunga mkono ajenda ya nishati safi

  UBELGIJI imeunga mkono kampeni ya Nishati Safi ya kupikia na hivyo imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika matumizi ya nishati hiyo kwa maendeleo ya Bara zima la Afrika iliyoasisiwa na kinara wa kampeni hiyo, Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamebainishwa katika kikao cha Naibu Waziri…

Read More

Mbunge ataka wanaobaka watoto waondolewe uume

Dodoma. Hoja ya adhabu kwa wanaobaka watoto chini ya miaka 10, imeibuka bungeni mmoja wa wabunge akitaka wanaotiwa hatia wanyongwe hadi kufa, huku mwingine akitaka waondolewe uume. Wabunge hao wa viti maalumu, Rita Kabati na Najma Murtaz Giga, wamesema hayo leo Jumatano Septemba 4, 2024 wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma….

Read More

Rais El Sissi azuru Uturuki baada ya kumaliza mivutano – DW – 04.09.2024

Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Abdel Fattah el-Sissi nchini Uturuki tangu alipochaguliwa kuwa rais mwaka 2014. Vyombo vya habari vya Misri vimesema anaambatana na ujumbe mkubwa wa maafisa na wafanyabiashara. El-Sissi anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuangazia masuala kuanzia uhusiano baina ya mataifa yao, mzozo katika Ukanda…

Read More

Rais El Sissi azuru Uturuki baada ya kumaliza mivutano – DW – 04.09.2024

Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Abdel Fattah el-Sissi nchini Uturuki tangu alipochaguliwa kuwa rais mwaka 2014. Vyombo vya habari vya Misri vimesema anaambatana na ujumbe mkubwa wa maafisa na wafanyabiashara. El-Sissi anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuangazia masuala kuanzia uhusiano baina ya mataifa yao, mzozo katika Ukanda…

Read More