Sheria Mpya ya LGBT+ ya Bulgaria Inaweka Vikundi vya Haki za Jumuiya Kuonya — Masuala ya Ulimwenguni

Marekebisho ya sheria ya elimu ya Bulgaria yaliyopitishwa mwezi uliopita, yanapiga marufuku “propaganda, ukuzaji, au uchochezi kwa njia yoyote, moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja, katika mfumo wa elimu wa mawazo na maoni yanayohusiana na mwelekeo wa kijinsia usio wa kitamaduni na/au utambulisho wa kijinsia isipokuwa ya kibaolojia.” na Ed Holt (bratislava)…

Read More

China, Tanzania, na Zambia zakubaliana kufufua mradi wa Tazara

Katika mkutano uliofanyika huko Beijing China, Tanzania, na Zambia zimetia saini makubaliano ya awali kuhusu mradi wa reli ya Tanzania-Zambia ambao unalenga kuboresha mtandao wa usafiri wa reli na bahari katika ukanda wa Afrika Mashariki. Rais wa China, Xi Jinping alishuhudia utiaji saini wa makubaliano hayo ya reli ya Tanzania-Zambia pamoja na marais wa Tanzania…

Read More

CP Kaganda atoa uzoefu wake masuala ya polisi jamii Marekani pamoja na nchi alizohudumu kulinda amani, washiriki waipokea mbinu hiyo.

Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wa kike na wasikamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago Nchini Marekani suala la Uzoefu katika Masuala ya Polisi Jamii nalolikatolewa na kamishna wa Polisi Utawala na menejimenti ya rasilimali watu katika maeneo aliyohudumu akiwa Mkuu wa Operesheni Abyei Sudan kusini. CP Suzan Kaganda ametoa uzoefu huo Nchini humo…

Read More

Real Madrid, Chelsea, Ajax uwanjani leo kukupa mkwanja

  Alhamisi ya leo inaweza kua siku kubwa kwako kwa kushinda mamilioni kupitia michezo mikali ambayo itakwenda kuchezwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku miamba ya soka ikiwa inashuka dimbani katika michezo hiyo. Pale kwenye ligi kuu nchini Hispania itapigwa michezo kadhaa leo ya kibabe kabisa, Huku kwenye michuano ya kufuzu Uefa Europa league na Conference…

Read More

WAKANDARASI MIRADI YA UJENZI YA HEET UDOM WAASWA

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wakandarasi walioshinda Zabuni ya Ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kuzingatia ubora katika ujenzi wa Majengo hayo na kukamilisha kwa wakati. Hayo amesema , katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya…

Read More

Ukicheza kasino ya BlackJack 2, utajiri ni kugusa tu

  Blackjack 2 ni moja ya mchezo wa kadi rahisi sana kucheza na kuibuka mshindi, wakati huo unafurahia mhcezo kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, hakikisha tu umejisajili na kama bado gusa hapa hapa kujisajili Meridianbet. Kabla ya yote hebu tuzungumzie kidogo kuhusu mchezo wa blackjack wenyewe. Blackjack ni mchezo wa kadi ambao unajulikana kama moja…

Read More

Sloti ya 40 Lucky Sevens inaweza kukutajirisha

  Meridianbet unawekeza mtaji mdogo na baadae matunda yake unakuwa bilionea wa maisha yako kwa kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa 40 Lucky Sevens unahusu matunda ambapo na unatoa ushindi kila hatua. Jisajili Meridianbet ufurahie ushindi huu. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“….

Read More

Mkwanja wa kumwaga upo Meridianbet wikiendi hii

  Wikiendi hii mkwanja upo wa kutosha pale Meridianbet kupitia michezo ambayo itakwenda kuchezwa kwenye ligi mbalimbali barani ulaya haswa zile kubwa tano barani humo. Ligi kuu nchini nchini Uingereza, Italia, Hispania, Ufaransa, Ujerumani, pamoja na Ufaransa zote zitakwenda kuchezwa na michezo mikali itakuepo ya kuhakikisha unaweza kuondoka na maokoto ya kutosha. EPL Arsenal mapea…

Read More

Maajabu ya sloti Fairy in Wonderland, ushindi huku

   Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia katika hekaheka na kukutana na Wonderland. Jisajili Meridianbet upige mamilioni kirahisi. Ndani yake kuna kukutana na udadisi kadha wa kadha katika dunia hii isiyo ya kawaida lakini pia vikwazo katika muundo wa mipangilio isiyo…

Read More

12 watoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’

Dodoma. Kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inaendelea leo Jumatano Septemba 4, 2024. Tayari mashahidi 12 wa upande wa Jamhuri wameshatoa ushahidi katika kesi hiyo inayosikilizwa faragha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari jana Septemba…

Read More