Mama afunguka kifo cha mwanaye aliyedaiwa kubakwa na mumewe

Dodoma. Mama wa mtoto aliyedaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia, Stella Gidion amesimulia namna alivyohangaika kumtafuta mwanaye baada ya kuondoka na mumewe. Akizungumza na Mwananchi Septemba 3, 2024 nyumbani kwake Mbuyuni, Kata ya Kizota, amesema Jumapili Septemba mosi, baba wa mtoto Stephen Damas (38) aliondoka nyumbani na mtoto akiamini amekwenda dukani. “Nilikaa…

Read More

WIZARA KUPIMWA KWA UTEKELEZAJI WA MWONGOZO WA UJUMUISHAJI WA JINSIA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 

  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi akizungumza na Wakurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara zote na Waratibu wa Ujumuishwaji Jinsia ngazi ya Wizara wakati akifunga semina elekezi ya Mwongozo wa Jinsia katika Utumishi wa Umma. Wakurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara zote na Waratibu…

Read More

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA RAIS XI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais…

Read More