
MARUFUKU WANAWAKE KUZUNGUMZA KWA SAUTI KUBWA HADHARANI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Serikali ya Taliban imeweka sheria mpya iliyopitishwa nchini Afghanistan ambayo inazidi kuibua hisia kali duniani, Vipengele katika sheria hiyo ni pamoja na kupiga marufuku wanawake kuzungumza kwa sauti kubwa hadharani na kuonyesha nyuso zao nje ya nyumba zao. Sheria hizo mpya tayari zimeidhinishwa na kiongozi mkuu wa nchi hiyo,…