Petroli, dizeli zashuka bei, soko la dunia likitajwa

Dar es Salaam. Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Septemba 2024 imeshuka nchini ikilinganishwa na Agosti, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la dunia. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo Jumatano Septemba 4, 2024 kwa yanayochukuliwa…

Read More

Ajiua kwa kujinyonga ikidaiwa alifumaniwa akimbaka mjukuu

Dodoma/Moshi. Wakati Serikali, wadau na jamii kwa ujumla ikipambana kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto, matukio ya ubakaji na ulawiti yameendelea kuripotiwa katika maeneo kandaa nchini. Mkoani Kilimanjaro inaripotiwa kuwa, katika Kijiji cha Kifuni, Kata ya Kibosho Magharibi, wilayani Moshi, Wenseslaus Olomi (50), amejiua kwa kujinyonga ikidaiwa ni baada ya kufumaniwa akimbaka mjukuu wake wa…

Read More

Che Malone, Hamza kuna kitu

WANASEMA nyota njema huonekana asubuhi. Hiyo imejitokeza mapema sana ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Msauzi, Fadlu Davids. Unajua imekuwaje? Soma hapa. Simba ambayo imeuanza msimu huu kwa ushindi wa asilimia 100 ndani ya Ligi Kuu Bara, kuna kitu bado kinaonekana hakijamridhisha Fadlu kiasi cha kumfanya akune kichwa. Ukiangalia katika mechi hizo mbili…

Read More

Gamondi afichua alivyomzuia Mzize | Mwanaspoti

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kwamba alihusika katika ushawishi wa kumbakisha mshambuliaji Clement Mzize asiondoke klabuni hapo huku akitaja sababu mbili za uamuzi wake huo juu ya kinda huyo. Akizungumza na Mwanaspoti, Gamondi alisema licha ya ofa ambazo Mzize zimeanza kutajwa akitakiwa na klabu kubwa za Afrika, lakini bado mshambuliaji huyo anatakiwa kubaki…

Read More

Mwongozo mpya wa WHO unalenga 'uchafuzi wa viuavijasumu' kutoka kwa maabara za utengenezaji – Masuala ya Ulimwenguni

Maagizo hayo yanahusu usimamizi wa maji machafu na taka ngumu kwa utengenezaji wa viuavijasumu, na yanakuja mbele yake Mkutano wa Ngazi ya Juu juu ya upinzani wa antimicrobial (AMR) ambayo itafanyika wakati wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu huko New York. AMR hutokea wakati bakteria, virusi, fangasi, na vimelea hubadilika baada…

Read More