Ofisi ya haki za Umoja wa Mataifa inaelezea 'hali ya hewa ya hofu' iliyoenea – Masuala ya Ulimwenguni

“Ni hali ya hofu nchini kwa sasa. Tunaiomba serikali kuhakikisha kuwa hatua zote zinachukuliwa kwa kuzingatia sheria za kimataifa za haki za binadamu kwa uwazi na kwamba hatua zinachukuliwa kutatua mgogoro huu kwa amani,” OHCHR msemaji Ravina Shamdasani aliwaambia waandishi wa habari mjini Geneva. Tahadhari hiyo ni ya hivi punde kati ya maonyo mengi kutoka…

Read More

Raia wa Comoro kutibiwa Hospitali ya Benjemani Mkapa

Dar es Salaam. Raia wa Visiwa vya Comoro sasa watatibiwa Tanzania kwa huduma za afya walizokuwa wakizifuata Bara la Ulaya na Mashariki ya mbali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Septemba 3, 2024 na Spika wa Bunge la Comoro, Moustadroine Abdou wakati akizungumza na vyombo vya habari baada ya kutembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), jijini Dodoma….

Read More

Wananchi 62,000 kuwezeshwa kiuchumi Tanzania

Mbeya. Wakazi 62,000  wanatarajiwa kuingizwa kwenye mfumo rasmi na kuwezeshwa kiuchumi kupitia Programu ya Imarisha Uchumi na Mama Samia (Imasa). Hatua hiyo imeelezwa kuyagusa makundi ya kijamii wakiwapo wazee, vijana na makundi maalumu ya watu wenye ulemavu watakaoingizwa kwenye mfumo rasmi wa kidigitali. Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa amebainisha…

Read More

Hatua muhimu Shilingi ikiporomoka dhidi ya Dola

Dar es Salaam. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani dhidi ya Dola ya Marekani kwa asilimia 11.4 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, hali inayowastua waagizaji wa bidhaa, sanjari na hofu ya ongezeko la gharama za utekelezaji wa baadhi ya miradi mikubwa. Kushuka kwa Shilingi dhidi ya Dola kulitokana na kuadimika kwa sarafu hiyo ya…

Read More