
Mufti amshukuru Rais Samia, vyombo vya habari mashindano ya Quran
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kufanyika kwa mashindano ya Quran kwa wanawake ya dunia jijini Dar es Salaam, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ametoa shukrani zake kwa wote waliofanikisha mashindano hayo. Mufti Zubeir pia, amemshukuru Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kuwa mgeni rasmi na mlezi wa mashindano hayo. Sambamba…