
Wanasiasa nchini Ujerumani wajadiliana sera ya uhamiaji – DW – 03.09.2024
Waziri wa Mambo ya Ndani katika jimbo la Hesse, magharibi mwa Ujerumani Roman Poseck amenukuliwa akisema kuna umuhimu wa kuifanyia mageuzi makubwa sera ya uhamiaji. Poseck, kutoka chama cha Christian Democratic Union, CDU akaongeza kuwa kwa mtizamo wake anadhani matokeo yanatakiwa kuonekana ndani ya kipindi kifupi. Katibu Mkuu wa chama cha FDP, kinachopendelea wafanyabiashara, Bijan…