
Vijiji vilivyoathirika na maporomoko Hanang kunufaika na mradi wa maji
Babati. Vijiji vitano vilivyoathirika na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanang Desemba 2023 mkoani Manyara, vinatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wenye thamani ya Sh1.7 bilioni. Lengo ni kuboresha maisha ya wakazi wa vijiji hivyo vilivyoathirika kutokana na maporomoko ya mawe, miti na matope na kusababisha vifo, majeruhi na kuharibika miundombinu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne…