
Netanyahu aapa kupigana kuwalinda watu wake – DW – 27.09.2024
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa serikali yake inataka amani, huku akionya pia kuwa iko tayari kupigana kwa kuwalinda raia wake. Ijumaa (28.09.2024 ) katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambayo ilisusiwa na baadhi ya wanadiplomasia ambao walitoka nje ya chumba hicho,Netanyahu amesema Israel maadui zao wanataka si tu kuwaangamiza,…