
ZRA yatoa sababu kuvuka lengo makusanyo ya kodi Agosti
Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), imevuka lengo la makusanyo ya kodi kwa asilimia 102.34 kwa Agosti, 2024. Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA, Said Ali Mohammed amesema leo Jumanne, Septemba 3, 2024 kwamba mamlaka hiyo imefanikiwa kukusanya Sh71.11 bilioni kati ya malengo ya kukusanya Sh69.49 bilioni. Amesema makusanyo hayo yameongezeka jumla ya Sh13.87 bilioni sawa…