
Shahidi kesi ya mkopo benki za Equity azidiwa kiafya
Dar es Salaam. Hali ya afya ya shahidi wa pili wa upande wa madai katika kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo iliyofunguliwa na Kampuni ya Continental Reliable and Clearing (CRC) (mkopaji) dhidi ya benki za Equity Tanzania (EBT) na Equity Kenya (EBK), imekwamisha usikilizwaji wa kesi hiyo. Kesi hiyo ilipangwa kuendelea kwa siku nne…