
Watu 129 wafariki kufuatia jaribio la kutoroka jela Kongo – DW – 03.09.2024
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni waziri wa mambo ya ndani Jacquemin Shabani ametangaza matukio hayo usiku wa manane. “Matokeo ya mwanzo kabisa ni kwamba kuna watu mia moja na ishirini na tisa waliouawa, na ishirini na nne kati yao waliuawa kwa risasi na wengine katika kugongana, kutokana na kukosa oxygen, na wanawake kadhaa walibakwa. Kamati ilihesabu…