
ONGEZEKO LA IDADI YA WATU WANAONYONGWA NCHINI IRAN LAZUA WASIWASI KWA WATAALAMU WA HAKI ZA BINADAMU – MWANAHARAKATI MZALENDO
Wataalamu huru wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la idadi ya watu wanaonyongwa nchini Iran, ambapo zaidi ya watu 400 wamenyongwa mwaka huu pekee. Ongezeko hili linaibua taharuki miongoni mwa jamii ya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu, hasa kwa kuzingatia kuwa mwezi Agosti 2024 pekee,…