TAASISI ZAIDI YA AROBAINI ZAJITOKEZA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA KWA UMMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bi. Angelista Kihaga, ametangaza kuwa zaidi ya taasisi arobaini zimejitokeza kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu. Taarifa hii imekuja baada ya kutolewa kwa nafasi za kutoa elimu hiyo na inaonesha mwitikio mkubwa…

Read More

MTATURU ALISHUKURU KANISA,ACHANGIA SH MIL 11.

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Uzinduzi wa Jimbo la Ikungi KKKT na kuchangia vifaa vya ofisini vyenye thamani ya Shilingi Milioni 11. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta,printa,Photocopy na samani za ofisi ikiwa ni maombi yaliyokuwemo kwenye risala iliyosomwa na Mkuu wa Jimbo Jipya la Ikungi Mch.Sara Msengi. Aidha,amewakumbusha kuwa Mwaka huu 2024…

Read More

Hili hapa tatizo la ufundishaji wa Kiingereza Tanzania

Wakati bado kukiwa na mjadala wa lugha ya kufundishia nchini kati ya Kiswahili na Kiingereza, Watanzania wanakabiliwa na hatari ya kutofaidi fursa za kimataifa kwa kutoelewa lugha ya Kiingereza, huku pia matumizi ya Kiswahili yakiwa njia panda. Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalum, mfasiri wa lugha na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,…

Read More

Chuo cha mkwawa kuongeza majengo manne ikiwemo hosteli

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) wameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanzisha mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET) wenye thamani ya shilingi bilioni 14.8. Mradi huu unatarajiwa kutatua changamoto za ubakaji na wizi kwa wanafunzi wanaoishi nje ya hosteli. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi,…

Read More

Idara ya uhamiaji yamulikwa mafunzo Marekani,washiriki watoa dira namna ya kukabiliana na changamoto

Mafunzo kwa Shirikisho la askari wa kike na wasimamizi wa sheria duniani yameendelea katika Jiji la Chicago Nchini Marekani ambapo mada na masomo mbalimbali yameendelea ambapo suala la wahamiaji na changamoto zake kutokana na mabadiliko ya Sheria baina ya Nchi na Nchi likamulikwa na washiriki wakapata nafasi ya kubadilisha uzoefu namna ya kukamiliana na changamoto…

Read More