
Simulizi ya msichana aliyesafiri kwa pikipiki nchi tisa Afrika
Dar es Salaam. Miezi takribani mitatu ilimtosha Ebaide Udoh (27), kukamilisha safari ya peke yake aliyoifanya kwa kutumia pikipiki kufika nchini Nigeria akitokea Kenya. Akiwa anaishi Kenya tangu mwaka 2022, aliamua kufanya safari hiyo kama sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwenda katika ardhi ambayo alizaliwa na kuishi. Woga uliochanganyika na furaha ya kufanya…