
Jumapili hapatoshi, kolabo la SBL na 1245
Ile Jumapili uliyoizoea ya kukaa kinyonge hatimaye imeondolewa kwenye kalenda, HAIPO TENA! Wakali wa muda wote wa kutengeneza na kusambaza pombe kali na bia nchini hawa si wengine bali ni Serengeti Breweries Ltd wakishirikiana na club inayobamba mjini 1245 wameigeuza Jumapili yako kuwa Ijumaa mpya. Unaambiwa sasa siku za Jumapili zitakuwa maalamu za kula bata…