
Kauli ya DC Longido ilivyotonesha kidonda cha uchaguzi
Dar es Salaam. Kauli ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido (DC), Mkoa wa Arusha, Marco Ng’umbi kuwa Serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetonesha upya kidonda cha madai ya mifumo ya sheria za uchaguzi ili viongozi wanaopatikana watokane na matakwa ya wananchi. Aidha, kauli hiyo imeelezwa inakwenda…