Coastal Union yaanza upyaa Bara

KAIMU Kocha Mkuu wa Coastal Union, Joseph Lazaro, amesema hivi sasa wameanza kuuona mwanzo mpya wa timu yao ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya hapo awali kuwa na matokeo mabaya mfululizo. Coastal Union ambayo tayari imeshuka dimbani mara sita katika Ligi Kuu Bara msimu huu, imefanikiwa kushinda mechi moja, ikipoteza nne na sare moja….

Read More

CFAO MOBILITY TANZANIA UNVEILS THE ALL-NEW VOLKSWAGEN AMAROK 2024 : REDEFINING 4X4 PERFORMANCE AND VERSATILITY FOR TANZANIA’S GROWING ECONOMY

CFAO Mobility Tanzania, the authorized distributor of Volkswagen vehicles in the country, proudly announces the launch of the highly awaited Volkswagen Amarok 2024.    This new model Volkswagen Amarok sets a benchmark for 4×4 performance, durability, and luxury, tailored to meet the demands of Tanzania’s dynamic economy, particularly in sectors such as mining, tourism, agriculture,…

Read More

Mwalimu aliyetuhumiwa kumlawiti mtoto aachiwa huru

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru mwalimu wa mafunzo kwa vitendo, Frank Mpogoma, aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kulawiti mtoto mwenye mlemavu mwenye umri wa miaka 13, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Septemba 30, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Ushindi Swallo….

Read More

Usiyoyajua kuhusu hayati Edward Sokoine haya hapa

Dar es Salaam. “Alikuwa Mmasai kwelikweii asiye na mawaa, Mkatoliki kindakindaki na wakati mwingine mwenye hamasa kubwa, pia alikuwa mzalendo wa Tanzania asiyetiliwa mashaka na mwenye upendo na nchi yake na viongozi.” “Ikiwa ni pamoja na utii usio wa kawaida na woga kwa kiongozi wake aliyemchukulia ni mzazi wake, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na…

Read More

Bomu mkononi – Sehemu ya 18

“Tuna utaratibu wa kubadilishwa mara kwa mara lakini itakapokuwa hivyo nitakujulisha,” mlinzi huyo akaniambia. “Hakuna tatizo,” nikamjibu. Kutoka siku ile nyumba yetu ikawa na mlinzi. Alikuwa anakuja saa kumi na mbnili jioni na kuondoka saa moja asubuhi. Anapokuja ananijulisha na anapoondoka asubuhi pia ananipa taarifa. TWENDE PAMOJA… BAADA ya mlinzi huyo kuanza kazi, siku mbili…

Read More