Majukumu ya mwenyekiti wa Serikali za mitaa, wajumbe wake

Dar es Salaam. Umewahi kujiuliza kwanini ni muhimu kupiga kura kumchagua mwenyekiti wa Serikali za mitaa na wajumbe wake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024? Kama umewahi kujiuliza, kwa hiyo majukumu ya viongozi hao ndiyo sababu inayokulazimu kuhakikisha unashiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa Serikali za mitaa na wajumbe wake wana nafasi ya pekee katika…

Read More

INEC, VYAMA VYA SIASA KUANDAA KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI

Na Mwandishi wetu- Dodoma NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amesema, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa itaandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa kuzingatia masharti ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024. Nderiananga ameyasema hayo…

Read More

Friji la mkaa kuwakomboa wakulima nchini

Dar es Salaam. Ukitazama mwonekano wake unaweza kudhani ni nyumba lakini ni jokofu la mkaa (friji) maalumu kwa kuhifadhi mazao yanayoharibika mapema. Ni friji lililotengenezwa kwa kutumia mkaa na maalumu kwa ajili ya kutunza mazao yanayoharika haraka yanapotolewa shambani ili kuwaepusha wakulima wasipate hasara baada ya mavuno. Friji hilo hutumika katika kuhifadhi mazao ya mbogamboga…

Read More

NAFASI YA KISTRATEJIA YA TANZANIA KATIKA USIMAMIZI WA KIMATAIFA WA MADINI YA SAKAFU YA BAHARI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Uchaguzi wa Tanzania kama Mjumbe wa Baraza la Usimamizi wa Mamlaka ya Bahari Kuu (ISA) ni hatua ya kistratejia kwa nchi hii katika kuimarisha ushawishi wake kimataifa kwenye usimamizi wa madini ya sakafu ya bahari. Ujumbe huu, uliopatikana wakati wa mkutano wa Baraza uliofanyika tarehe 2 Agosti 2024 jijini Kingston, Jamaika, unatoa fursa kwa Tanzania…

Read More

Mgomo wafanyika Israel kushinikiza kuachiliwa kwa mateka – DW – 02.09.2024

Wafanyakazi hao wanapinga hatua za serikali kushindwa kuumaliza mzozo huo na kufanikisha kuwarejesha nyumbani mateka waliosalia mikononi mwa kundi la Hamas. Mgomo huo unaoongozwa na muungano wa mashirika ya wafanyakazi ya Israel, Histadrut umekwamisha shughuli za kibiashara na kijamii. Idadi kubwa ya miji na jamii kadhaa zilijiunga na maandamano hayo, huku baadhi wakikataa kufanya hivyo…

Read More

EU waikingia kifua Ufilipino mgogoro wake na China

Dar es Salaam. Umoja wa Ulaya (EU), imeishutumu China kwa hatua ilizozichukua za kuitaka Ufilipino iondoe meli yake katika eneo linalogombaniwa na mataifa hayo. Hatua za China dhidi ya Ufilipino, zinakuja ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu meli za nchi hizo zigongane katika Bahari ya Kusini ya China na kusababisha meli ya Ufilipino kuharibika. Kutokana…

Read More