
Polisi kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi baada ya mafunzo Marekani.
Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali wa watu CP Suzan Kaganda amesema kuwa baada ya kufunguliwa kwa Mafunzo ya askari wa kike na wasimamizi wa sheria duniani Jeshi la Polisi Nchini Tanzania kuendelea kutoa huduma bora na nzuri kwa wananchi kutokana na mafunzo wanayokwenda kupata. Ametoa kauli hiyo leo Jiji la Chicago Nchini…