
Mashirika binafsi toeni huduma katika halmashauri zote
Serikali Mkoani Geita imeyataka Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali kuhakikisha wanashirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo changamoto za kiuchumi , kimaendeleo na kiutamaduni sambamba na kulinda Mila na Desturi za Kitanzania. Hayo yameelezwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Geita Dkt. Elfasi Msenya katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs)…