Mgunda kuachiwa mikoba ya Zahera

IMEELEZWA kuwa, Namungo FC ipoa katika mazungumza na kocha mkuu wa timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens, Juma Mgunda ili kwenda kuchukua mikoba ya Mwinyi Zahera anayetarajiwa kupigwa panga baada ya kuanza vibaya mechi mbili za Ligi Kuu msimu huu. Namungo ilianza msimu kwa kufungwa mabao 2-1 na Tabora United kisha kulala tena…

Read More

Ibenge atajwa Azam FC | Mwanaspoti

BAADA ya Azam FC kuonekana imegonga mwamba kwa kocha Nasreddine Nabi, anayeinoa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, inaelezwa kuwa kwa sasa nguvu imehamishiwa kwa Mkongoman, Florent Ibenge wa Al-Hilal Club mwenye CV kubwa Afrika. Klabu hiyo ilihitaji  huduma ya Nabi kutokana na alichokifanya katika timu mbalimbali (2013), Al-Ahly Benghazi, Al-Hilal, Ismaily, Al-Merrikh, Yanga na FAR…

Read More

Fadlu hataki utani, ampa kazi nzito Ateba

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema licha ya mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Leonel Ateba kufunga bao moja katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan, bado anapaswa kuendelea kupambana zaidi kikosini. Nyota huyo raia wa Cameroon alifunga bao hilo ikiwa ni mchezo wa kwanza kwake akiwa na kikosi hicho…

Read More

Yanga kubadili upepo CAF, mashabiki mjiandae

KAMA wewe ni shabiki wa Yanga ambaye popote ilipo timu hiyo nawe unakuwepo, basi anza kujipanga mapema kwani kuna mabadiliko ambayo yataifanya klabu hiyo kuendana na baraka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE ya Ethiopia. Yanga ni moja kati ya timu…

Read More

Askofu akemea rushwa chaguzi zijazo

Dar es Salaam. Wakati maandalizi ya chaguzi zijazo yakiendelea nchini, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu ameonyesha hofu kwa yanayoendelea kama yatachagiza kupata viongozi bora. Kiongozi huyo wa kiroho amewataka Watanzania katika uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kutafuta mtu atakayewasaidia na kutanguliza mbele utu…

Read More