
RAIS SAMIA ASHIRIKI KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.