
MATI SUPER BRANDS YASHIRIKI MANYARA DAFTARI DAY JOGGING
Na Mwandishi Wetu ,Manyara. Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited imeshiriki na kudhamini Matembezi maalumu ya kuhamasisha Wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura yanayofahamika kama “Manyara Daftari Day ” ambapo Mamia ya wakazi wa mkoa wa Manyara wameshiriki wameshiriki matembezi hayo yaliyofanyika katika viwanja ya Tanzanite…