
Niyonzima, Coastal kuna jambo lipo
WIKI chache tangu aiachane na aliyekuwa kocha mkuu, David Ouma, klabu ya Coastal Union ya Tanga inadaiwa imemshusha kimyakimya kocha mpya kutoka Burundi, Domonique Niyonzima ambaye kwa sasa anaendelea kusimamia mazoezi yanayoendelea kambini eneo la Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Licha ya kwamba mabosi wa Coastal bado haijatangaza rasmi juu ya kocha huyo ambaye ni…