
Wazazi waduwazwa na vipaji vya wanafunzi St Anne Marie Academy
· Waonyesha vipaji kwenye lugha ya kingereza, kifaransa na masomo ya uhandisi Na Mwandishi Wetu UMAHIRI ulionyeshwa na wanafunzi wa shule ya sekondari ya St Anne Marie Academy kwenye kuzungumza lugha mbalimbali kumewashangaza wazazi walihudhuria mahafali ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. Wanafunzi hao walionyesha vipaji vyao jana Jumamosi kwenye mahafali ya 20 ya shule…