
Ligi Kuu Bara… Ngoja tuone inakuwaje
Leo jioni inapigwa mechi moja tu ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Fountain Gate dhidi ya Kagera Sugar, lakini sasa ni kwamba kesho kipute cha ligi hiyo kinaendelea kwa michezo mitatu ikikutanisha timu zilizopo nafasi tofauti tofauti zikiwania pointi tatu. Mapema saa 8 mchana kuna mchezo utapigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa…